Yangon (pia:Rangun) ni mji mkubwa wa Myanmar. Ilikuwa mji mkuu wa nchi hadi 2005.

Jengo la Manispaa ya Yangon

Kuna wakazi zaidi ya milioni 4. Mji uko kando la mto Hlaing karibu na bahari.

Picha za Rangun hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Yangon kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.