Yara Sallam

Mwanaharakati wa haki za wanawake wa Misri

Yara Sallam (alizaliwa 24 Novemba 1985) ni mtetezi maarufu wa masuala ya wanawake na haki za binadamu wa Misri.

Picha ya Yara Sallam
Picha ya Yara Sallam

Amefanya kazi kama mwanasheria na mtafiti wa mashirika kadhaa ya haki za binadamu ya Misri na kimataifa, pamoja na Tume ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (ACHPR).[1] [2]

Tanbihi hariri

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-10-28. Iliwekwa mnamo 2022-03-08. 
  2. http://thefeministwire.com/2014/07/feminists-we-love-yara-sallam/

Marejeo hariri

  1. "Egypt: Release women's rights defender, protesters arrested for challenging draconian protest law". Amnesty International. Retrieved October 15, 2014.
  2. Abbas, Hakima. "Feminists We Love: Yara Sallam". The Feminist Wire. Retrieved October 15, 2014.