Yassine Ben Hamed

(Elekezwa kutoka Yassine ben hamad)

Yassine Ben Hamed (kwa Kiarabu: ياسين بن حامد; alizaliwa 24 Machi 2003) ni mwanasoka wa kulipwa ambaye anacheza kama beki wa kushoto wa klabu ya Ubelgiji ya Royal Antwerp. Yassine ni mzaliwa wa Ufaransa, awali aliwawakilisha katika ngazi ya kimataifa ya vijana, kabla ya kubadili utaifa wake kwa Algeria.

Kazi Yake Katika Klabu hariri

Ben Hamed ni mhitimu wa chuo cha vijana cha Lille. Mnamo tarehe 7 Julai 2021, alijiunga na klabu ya Ubelgiji ya Royal Antwerp kwa mkataba wa miaka minne. [1]Alicheza mechi yake ya kwanza ya kulipwa tarehe 25 Julai na kupoteza goli 3-2 katika ligi dhidi ya Mechelen FC.[2]

Kazi yake Kitaifa hariri

Ben Hamed alikuwa mchezaji wa zamani wa kimataifa nchini Ufaransa. Akiwa sehemu ya kikosi cha Ufaransa wakati wa mechi za kufuzu kwa Ubingwa wa UEFA wa U-17 Mwaka 2020.[3] Pia Alichezea Algeria U20 katika Kombe la Kiarabu la U-20 la 2022.

Maisha Binafsi hariri

Ben Hamed ni mwenye asili ya Algeria.

Marejeo hariri

  1. "Officiel : Yassine Ben Hamed signe à Antwerp". 7 Julai 2021. Iliwekwa mnamo 30 Julai 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Mechelen vs. Antwerp - 25 July 2021". Iliwekwa mnamo 30 Julai 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Yassine BEN HAMED et France U17 qualifiés pour l'Euro". 27 Oktoba 2019. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-06-11. Iliwekwa mnamo 30 Julai 2021. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)

Viungo Vya Nje hariri

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yassine Ben Hamed kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.