Yohana 3:16 ni mstari ule wa Injili ilivyoandikwa na Yohana Mtakatifu unaodondolewa mara nyingi kabisa. Wakristo wengi wanauangalia kama muhtasari wa ujumbe wa Injili kuhusu Mungu na Yesu Kristo.

Katika tafsiri ya Habari Njema, mstari huo unasema: "Maana Mungu aliupenda ulimwengu hivi hata akamtoa Mwana wake wa pekee, ili kila amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele".

Marejeo hariri