Yumi Uetsuji (alizaliwa 30 Novemba 1987) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Japani ambae alichezea klabu ya Omiya Ardija Ventus. Kwasasa ni kocha msaidizi wa timu ya taifa ya wanawake ya Japani.[1][2]

Marejeo hariri

  1. List of match in 2012, 2015 at Japan Football Association
  2. Nippon TV Beleza
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yumi Uetsuji kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.