Zakaria Aboub (Kiarabu: زكرياء عبوب) (alizaliwa 3 Juni 1980 huko Casablanca) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Morocco anayecheza katika nafasi ya kiungo.

Kazi ya Klabu hariri

Alijiunga na FC Istres mwezi Januari 2006.

Kazi ya Kimataifa hariri

Aboub alicheza katika mechi za kimataifa za wachezaji chini ya umri wa miaka 23 wa Morocco katika Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Joto ya mwaka 2000.[1]

Marejeo hariri

  1. "Zakaria Aboub Biography and Statistics". Sports-Reference.com. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 18 April 2020. Iliwekwa mnamo 15 February 2010.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Zakaria Aboub kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.