ZeeZee Adel (pia hutamkwa kama Zizi na Zeze, alizaliwa 26 Oktoba, 1987, Kuwait [1] ) ni mwimbaji wa nchini Misri. [2] Adel alikuja kujulikana kwa mara ya kwanza alipoingia katika msimu wa pili wa mashindano ya Star Academy mwaka 2005, [3] na kuishika nafasi ya tatu baada ya Hisham Abdulrahman na Amani Swissi kwenye nusu fainali. [4]

Baada ya Star Academy hariri

Baada ya Star Academy, Zizi Adel alitia saini ya mkataba na Rotana mwaka 2007. [5] Albamu yake ya kwanza, Wahad Tayib Kbeeeeeer Awi ( One Good Package ), [6] iliyotolewa mwaka 2007, ilikua na nyimbo nane zikiwemo nyimbo kama Hobbo Eja Alayah ( Uaccounted Premature Fire ) na Wahad Tani.

Zizi Adel alishinda tuzo ya ART kama msanii bora mpya na albamu bora ya mwaka 2007.  Alisoma katika Institute of Arabic Music. Albamu ya pili ya Adel, iliyotolewa mwaka 2009, Waed Alia ( Promised High ), iliyokua na nyimbo 10.

Orodha ya kazi za muziki hariri

Albamu hariri

  • 2007: Wahda Tayiba
  • 2009: Waed Alia

Marejeo hariri

  1. "Nakala iliyohifadhiwa", 11 July 2007. Retrieved on 2022-05-03. (ar) Archived from the original on 2014-09-18. 
  2. "Zizi Adel — Album and clip of the (promised high)", 8 November 2009. (ar) 
  3. Template error: argument title is required. 
  4. Template error: argument title is required. 
  5. Template error: argument title is required. 
  6. "Nakala iliyohifadhiwa", Al Riyadh, 28 January 2007. Retrieved on 2022-05-03. (ar) Archived from the original on 2011-07-17. 
  Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu ZeeZee Adel kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.