Ziwa Abaya au Abaya Hayk (zamani pia Margherita) linapatikana kusini magharibi mwa Ethiopia.

Ziwa Abaya
Anwani ya kijiografia 6°26′N 37°53′E / 6.433°N 37.883°E / 6.433; 37.883
Mito ya kuingia Mto Bilate
Mto Gidabo
Mto Gelana
Nchi za beseni Ethiopia
Urefu km 60 (mi 37)
Upana km 20 (mi 12)
Eneo la maji km2 1 162 (sq mi 449)
Kina cha wastani m 7.1 (ft 23)
Kina kikubwa m 13.1 (ft 43)
Mjao km3 8.2 (cu mi 2.0)
Kimo cha uso wa maji juu ya UB m 1 175 (ft 3 855)
Miji mikubwa ufukoni Arba Minch
Ziwa Abaya kutoka Dorze. Kulia mbali ni Arba Minch na ziwa Chamo. Katikati kuna Nechisar National Park.

Ziwa linachangiwa na Mto Bilate, mto Gidabo na Mto Gelana, halafu linatokwa na mto Kulfo unaopeleka maji kwenye ziwa Chamo[1]

Eneo lake lote ni kilometa mraba 1162, urefu ni kilometa 60 na upana kilometa 20[2] with a surface area of 1162 square kilometers.[3].

Ndani yake vinapatikana visiwa kadha; kile kikubwa zaidi kinaitwa Aruro.

Tanbihi hariri

  1. Ababu Teklemariam, Bernd Wenclawia (2004). "Water Quality monitoring within the Abaya-Chamo Drainage Basin". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-02-07. Iliwekwa mnamo 2018-02-06. 
  2. Statistical Abstract of Ethiopia for 1967/68
  3. Baxter, R. M. Lake Morphology and Chemistry. in Taylor, W.D. and Tudorancea, C., eds. Ethiopian Rift Valley Lakes. Leiden: Backhuys Publishers, 2002.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Ethiopia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ziwa Abaya kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.