Ziwa Bisina (au ziwa Salisbury) ni ziwa dogo la Uganda kaskazini kwa Ikweta (Wilaya ya Kumi).

Mito na maziwa ya Uganda. Bonyeza ili kukuza ramani.

Ziwa hilo hupokea maji kutoka Ziwa Opeta na huyamwaga katika Ziwa Kyoga.

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

Viungo vya nje hariri