Ziwa Wamala ni ziwa dogo la Uganda kaskazini kwa Ikweta, katika wilaya ya Mityana, wilaya ya Mubende na wilaya ya Gomba.

Mito na maziwa ya Uganda. Bonyeza ili kukuza ramani.

Ziwa hilo lina eneo la kilometa mraba 250. Maji yake yanachangia Ziwa Nyanza ambalo lilitengana nalo miaka 4,000 iliyopita.

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

Viungo vya nje hariri