Zubeir Ali Maulid (amezaliwa 25 Machi, 1968) ni mbunge wa jimbo la Kwamtipura katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  1. "Mengi kuhusu Zubeir Ali Maulid". 19 Julai 2006. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-18. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.