Álvaro Odriozola Arzalluz (matamshi ya Kihispania: [ˈalβaɾo oðɾjoˈθola]; amezaliwa 14 Desemba 1995) ni mchezaji wa mpira wa miguu anayechezea Real Madrid na timu ya taifa ya Hispania.

Álvaro Odriozola akiwa Real Madrid.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Álvaro Odriozola kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.