Çankırı

Çankırı ni mji mkuu wa Mkoa wa Çankırı, nchini Uturuki. Takriban 140 km (87 mi) kutoka kaskazini-mashariki mwa mji wa Ankara. Mji upo katika maeneo yenye mambonde ya maji, karibuni m. 800 (na ft 2500) kwa mapolomoko.[1]

Çankırı
Çankırı districts.png

Marejeo ya NjeEdit

  1. Ptol., v. 4. § 5

Viungo vya NjeEdit

Tovuti Rasmi ya Mji


  Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Çankırı kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.