Mustafa İsmet İnönü (24 Septemba 1884 - 25 Desemba 1973) alikuwa jenerali na mkuu wa serikali wa Uturuki, ambaye aliwahi kuwa Rais wa pili wa Uturuki kutoka 11 Novemba 1938 hadi 22 Mei 1950.

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu İsmet İnönü kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.