Šiauliai (Kijerumani: Schaulen; Kiyiddish: שאַװל; Kipoland: Szawle) ni mji nchini Lituanya. Ni mji mkubwa wa nne katika nchi wa Lituanya. Kuna wakazi 129,075 (mwaka 2007). Mji ulianzishwa 1589. Kuna pia Chuo Kikuu cha Šiauliai.

Ndia ya Vilnius kaika Šiauliai

Jiografia hariri

Eneo lake ni 401 km².

 

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu "Šiauliai" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.
  Makala hii kuhusu maeneo ya Lituanya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Šiauliai kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.