Matukio hariri

  • Ugiriki: Michezo ya Olimpiki ya kwanza ambayo kumbukumbu yao imeandikwa. Michezo hii huaminiwa kuwa na historia ndefu zaidi lakini hakuna kumbukumbu ya mapema.
  • Mwanzo wa hesabu ya kwanza ya miaka katika kalenda ya kigiriki kufuatana na vipindi vya miaka minne kati ya michezo miwili ya Olimpiki.

Waliozaliwa hariri

Waliofariki hariri