AIDA Cruises ni kampuni kutoka nchi ya Ujerumani ambayo hutoa meli za kitalii kwenye maeneo mbalimbali kote ulimwenguni.

Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu AIDA (Kampuni) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.