A 2Pac Tribute: Dare 2 Struggle
A 2Pac Tribute: Dare 2 Struggle ni jina la albamu iliyotolewa kwa lengo la kumuenzi kioo cha muziki wa hip hop hayati Tupac Shakur.[1][2]
A 2Pac Tribute: Dare 2 Struggle | ||
---|---|---|
Studio album ya Dr. Mutulu Shakur | ||
Imetolewa | Juni 16, 2006 | |
Aina | Rap | |
Lebo | First Kut/Lyrical Knockout | |
Mtayarishaji | Dr. Mutulu Shakur Raoul Juneja (aka Deejay Ra) |
Dr. Mutulu Shakur (baba asiyemzazi wa Tupac) alitoa albamu hii kama kumbukumbu ya miaka 35 ya kuzaliwa kwa Tupac na maadhimisho ya miaka kumi ya kufa kwake. Albamu umeshirikisha marapa mbalimbali walio jela na wengine wa nje, ikiwa ni pamoja na watoto wa Mutulu Shakur, Mopreme Shakur na Nzingha, vilevile Outlawz, TQ, Slick, Imaan Faith na T-Jay. Awali ilitungwa kabla kuuawa Tupac 1996, wakati yeye na Mopreme walipoenda kumtembelea baba yao jela na kuandika "Thug Code" kwa lengo la kujaribu kupunguza vitendo vya kihuni.
Orodha ya nyimbo
hariri# | Jina | Wasanii Wanaoimba | Urefu |
---|---|---|---|
1. | "PSA (Public Service Announcement)" | Dr. Mutulu Shakur | |
2. | "Straight Ahead" | Mopreme Shakur | |
3. | "Blessings" | Outlawz | |
4. | "Since You've Been Gone" | SLICK | |
5. | "Enemies Of The State (imerekodiwa jela)" | S.C.U. [Solitary Confinement Unit] | |
6. | "Never Give Up" | Legacy | |
7. | "The Truth (From prison & outside)" | Strap, Imaan Faith | |
8. | "Thug Code (kutoka jela)" | S.C.U. | |
9. | "Still" | T-Jay | |
10. | "The First Teardrop (kutoka jela na nje)" | S.C.U. | |
11. | "Listen" | TQ | |
12. | "The Struggle" | P.O.W. [Prisoners of War] | |
13. | "Missing In Action" | S.C.U. | |
14. | "For Tupac Amaru" | Dr. Mutulu Shakur |
Marejeo
hariri- ↑ "Tupac's Father To Release Tribute Album", Chart, 2006-05-26. Retrieved on 2009-08-07. Archived from the original on 2011-06-07.
- ↑ ThugLifeArmy.com - A Total News Source for Hip-Hop Culture
Viungo vya Nje
hariri- Official Mutulu Shakur Web Site Ilihifadhiwa 26 Julai 2013 kwenye Wayback Machine.
- Lyrical Knockout Entertainment Ilihifadhiwa 26 Agosti 2013 kwenye Wayback Machine.