Abdallah Hamis Ulega

Abdallah Hamis Ulega (alizaliwa 28 Septemba 1979) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Alichaguliwa kuwa Mbunge wa Mkuranga kwa miaka 20152020. [1]

MarejeoEdit

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017