Abdelkader Belharrane

Abdelkader ALaa Eddine Belharrane (alizaliwa 11, Agosti, 2000) ni mwanasoka wa kulipwa kutoka Algeria[1][2] ambaye anacheza kama beki wa kulia wa klabu ya USM Alger katika Ligiya Algeria Professionnelle 1.[3]

Kazi hariri

Mnamo tarehe 17 Juni 2022, Belharrane alijitokeza kwa mara ya kwanza kwenye ligi na kufunga bao lake la kwanza dhidi ya klabu ya ES Sétif.[4]

Heshima hariri

USM Alger

  • Kombe la Shirikisho la CAF: 2022–23

Marejeo hariri

  1. "FICHE DU JOUEUR: ABDELKADER ALAA EDDINE BELHARRANE". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-12-21. Iliwekwa mnamo 2023-06-13. 
  2. "Abdelkader Belharrane". 
  3. "ABDELKADER BELHARRANE". 
  4. "ES SÉTIF VS. USM ALGER 3 - 1". 

Viungo Vya Nje hariri

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Abdelkader Belharrane kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.