Abdeslam Akouzar
Abdeslam Akouzar (alizaliwa Agadir, Morocco, 15 Aprili 1982) ni Mmorocco mchezaji wa soka kiungo wa kati.
Alijiunga na Troyes kutoka FC Gueugnon tarehe 20 Julai 2009.[1]
Marejeo
hariri- ↑ Abdeslam Akouzar (Gueugnon) va signer Ilihifadhiwa 27 Agosti 2009 kwenye Wayback Machine. Kigezo:In lang
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Abdeslam Akouzar kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |