Abdirahman Ali Hassan
Abdirahman Ali Hassan ni mwanasiasa wa Kenya. Akihudumu katika serikali ya Kenya kama waziri msaidizi wa biashara na viwanda kuanzia 2005 hadi 2007.[1]Pia alikuwa mwanachama wa orange democratic movement,akiwakilisha eneo la Wajir kusini katika bunge la kitaifa la Kenya katika uchaguzi wa 2002.[2]Pia alichaguliwa katika seneti ya Kenya mwaka wa 2013, [3] akiwakilisha kaunti ya Wajir, na kuwa naibu kiongozi katika seneti.[4][5][6]
Marejeo
hariri- ↑ "Results of the 2007 Kenyan general election", Wikipedia (kwa Kiingereza), 2021-08-10, iliwekwa mnamo 2021-10-09
- ↑ Members Of The 10th Parliament Archived 2008-06-16 at the Wayback Machine. Parliament of Kenya. Accessed June 19, 2008.
- ↑ "Politicians | Kenyans.co.ke". www.kenyans.co.ke. Iliwekwa mnamo 2021-10-09.
- ↑ "Hassan, Abdirahman Ali | The Kenyan Parliament Website". parliament.go.ke. Iliwekwa mnamo 2021-10-09.
- ↑ "Abdirahman Ali Hassan". Mzalendo (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-10-09.
- ↑ Post, Kulan (2017-02-18). "Wajir Senator Olow retires from active politics". KULAN POST (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2021-10-09.
Makala hii kuhusu mwanasiasa huyo wa Kenya bado ni mbegu. Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |