Abdul Jabir Marombwa

(Elekezwa kutoka Abdul Jabiri Marombwa)

Abdul Jabir Marombwa (amezaliwa tar. 25 Mei 1959) ni mbunge wa jimbo la Kibiti katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  1. Mengi kuhusu Abdul Jabir Marombwa (21 Julai 2006). Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-10-20. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.

Viungo vya nnje hariri