Abdulkarim Y. A. Karimjee

Abdulkarim Yusufali Alibhai Karimjee (alizaliwa Zanzibar, 1906) ni mmoja wa wanafamilia ya Karimjee na alikuwa Spika wa kwanza wa Bunge la Tanganyika.[1]

Marejeo

hariri
  1. "Abdulkarim Karimjee: Spika wa Kwanza Mtanganyika". Global Publishers (kwa American English). 2017-02-20. Iliwekwa mnamo 2024-09-10.