Abel Kipsang Bele (alizaliwa 22 Novemba 1996)[1] ni mwanariadha nchini Kenya wa mbio za kati ambaye alibobea wa mbio za mita 1500. Alishika nafasi ya nne katika mashindano ya Olimpiki ya Tokyo mwaka 2020. Kipsang alishinda medali ya shaba katika Mashindano ya Ndani ya Dunia mwaka 2022 huko Belgrade.

Abel Kipsang

Marejeo

hariri
  1. "Abel KIPSANG | Profile". www.worldathletics.org.
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Abel Kipsang kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.