Abim
Abim ni mji mkuu wa Wilaya ya Abim nchini Uganda. Idadi ya wakazi wake ni takriban 15,500.
Abim | |
Mahali pa mji wa Abim katika Uganda |
|
Majiranukta: 02°44′0″N 33°40′0″E / 2.73333°N 33.66667°E | |
Nchi | Uganda |
---|---|
Mkoa | Kaskazini |
Wilaya | Abim |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 15,500 |
Tazama pia
hariri
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Uganda bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Abim kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |