Open main menu
Abkhazia
Ramani ya Abkhazia.
Bendera ya Abkhazia.

Abkhazia ni nchi ya Ulaya kusini mashariki kwenye rasi ya Kaukazi.

Eneo lake ni km² 8,432 linalokaliwa na wakazi milioni nne.

Ilikuwa sehemu ya Georgia hadi mwaka 2006. Haijatambulika kimataifa kama nchi huru.

Mji mkuu ni Sukhumi.