Abschnitt 40
Abschnitt 40 (Sehemu ya 40) kilikuwa ni mfululizo wa televisheni wa polisi kutoka Ujerumani ulioonyeshwa kuanzia Mei 21, 2001 hadi 2006. Ulirushwa kwenye Televisheni ya RTL.
Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Abschnitt 40 kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |