Abu Bakari (Mshairi)

Abu Bakari (alizaliwa na kufa mjini Pate, karne ya 18) alikuwa mshairi na mwandishi katika usultani wa Pate. Aliandika ushairi na hadithi zake kwa Kiswahili.

Abu Bakari
Jina la kuzaliwa Abu Bakari
Alizaliwa Karne ya 18
Alikufa Karne ya 18
Nchi Kenya
Kazi yake Mwandishi

Alikuwa Mwafrika, tena wa Kibantu, mwana wa Bwana Mwengo aliyekuwa mshairi mjini Pate.

Alijulikana kuandika Utendi wa Katirifu na Utendi wa Fatuma. Pia alinakili Utendi wa Tambuka wa Bwana Mwengo.

Maisha yakeEdit

Aliandikia vitabu vyake kwa sultani wa Pate.

Vitabu vyakeEdit

  • Utendi wa Katirifu
  • Utendi wa Fatuma

Mistari ya Utendi wa KatirifuEdit

Wakateusha yeo charejea

Ururuni kikangia

Shujaa hunyenyekea

Kama kali ya hanjari.

MarejeoEdit

  • Knappert, J. (1982). Four Centuries of Swahili Verse.
  Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Abu Bakari (Mshairi) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.