Acapulco, Guerrero

Acapulco (Jina rasmi: Acapulco de Juárez) ni mji mkubwa katika jimbo la Guerrero mwenye wakazi 717,766. Ni pia bandari kuu ya nchi.

Acapulco, Guerrero
Jiji la Acapulco
Nchi Mexiko
Jimbo Guerrero
Idadi ya wakazi
 - 717,766
Tovuti: Acapulco, Guerrero

Sehemu muhimu ya uchumi ni utalii.

Mji ulianzishwa na Wahispania mnamo 1530.

Mahali pa Acapulco katika Guerrero
Mexico Flag Map.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Acapulco, Guerrero kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.