Ackeem Blake (alizaliwa Januari 21, 2002) ni mwanariadha nchini Jamaika. Blake aliibuka wa nne katika mbio za 4 x 100 za kupokezana vijiti kwenye Mashindano ya Riadha ya Dunia mwaka 2022 huko Eugene, Oregon.[1]

Ackeem Blake

Marejeo

hariri
  1. "Ackeem Blake".
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ackeem Blake kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.