Ad Plumbaria
Ad Plumbaria ulikuwa civitas (mji) wa Warumi huko Afrika Kaskazini.[1] Mji ulistawi kuanzia AD 300-AD 640. [2]
Mji unaonyeshwa kwenye Tabula Peutingeriana,[3] ukiwa kwenye barabara ya Hippo Regius.
Magofu yanayodhaniwa kuwa ya mji huo yaligunduliwa katikati ya miaka ya 1800 katikati ya Ziwa Fetzara.[4]
Marejeo
hariri- ↑ E.W.B. Fentress , R. Warner, R. Talbert, T. Elliott, Ad Plumbaria , a Pleiades name resource.
- ↑ Barrington Atlas location 2000, p. 489 (pl. 31 unlocated).
- ↑ Johannes Dominicus Podocatharos Christianopulos, Conradus Peutinger, Tabula itineraria militaris Romana antiqua Theodosiana et peutingeriana(Cherubinus, 1809) page iii.
- ↑ Hodder, Edwin (1876). All the World Over, Volume 1. T. Cook. uk. 459. Iliwekwa mnamo Feb 7, 2019.
{{cite book}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)