Adelardus Kilangi

Mwanasheria

Adelardus Kilangi ni Mwanasheria Mkuu wa Tanzania. Aliingia katika nafasi hiyo mnamo Februari 2018 kwa kuchukua nafasi ya George Masaju[1].

Aliteuliwa tena mwaka 2020 kuendelea kuhudumu baada ya kipindi cha kwanza kumalizika mnamo Oktoba 2020[2] na atakuwamo katika Bunge la 12 la Tanzania.

Profesa Kilangi amefanya kazi za utafiti na kutoa ushauri mbalimbali ndani na nje ya nchi.


Viungo vya Nje hariri

Marejeo hariri

  1. Kamagi, Deogratius (2020-06-17). "Tanzania: Masaju, Kilangi in Defence of National Interests". allAfrica.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-07-13. 
  2. "JPM appoints new Attorney General, deputy". The Citizen (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-07-13. 
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Adelardus Kilangi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.