Adidas Brazuca ulikuwa mpira rasmi kwa ajili ya mechi za Kombe la Dunia ya FIFA ya 2014, zilizofanyika Brazil. Umeundwa na kampuni ya Adidas.

Mpira wa Brazuca
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Adidas Brazuca kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.