African Sports Club ni klabu ya mpira wa miguu kutoka jijni Tanga, Tanzania. Walishiriki ligi kuu Tanzania bara mwaka 2015/2016, ambayo ndiyo ligi ya nafasi ya juu nchini Tanzania.[1][2]

Mechi za nyumbani huchezwa katika uwanja wa Mkwakwani.

Marejeo hariri

  1. "Tanzania Premier League: Standings - World MatchCentre - FIFA.com". web.archive.org. 2013-11-29. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-11-29. Iliwekwa mnamo 2023-05-14. 
  2. "Tanzania - African Sports Club - Results, fixtures, squad, statistics, photos, videos and news - Soccerway". int.soccerway.com. Iliwekwa mnamo 2023-05-14.