Tariro Mdhululi (anafahamika zaidi kwa jina la kisanii kama Afriking Troxxie.; amezaliwa 1 Oktoba 1995) ni mwimbaji na mtunzi wa muziki wa Reggae pamoja na Dancehall kutoka Afrika Kusini. Kwa asili ni mtu wa mkoani Johannesburg.

Afriking Troxxie
Jina Kamili Tariro Mdhululi
Jina la kisanii Afriking Troxxie
Nchi South Africa
Alizaliwa 01-10-1995
Aina ya muziki Dancehall
Miaka ya kazi 2016 - hadi leo
Kampuni Dapstrem Entertainment
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Afriking Troxxie kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.