Aftermath Entertainment

Aftermath Entertainment ni studio ya kurekodi iliyoanzishwa na msanii na mtayarishaji wa muziki wa hip hop Dr. Dre. Inafanya kazi kama kampuni tanzu na vilevile kusambaziwa kazi zake kupitia kampuni ya Interscope Records ambayo ni mali ya Universal Music Group. Washirika waliopo sasa ni pamoja na Dr. Dre mwenyewe, Eminem, Kendrick Lamar na Jon Connor ikiwa na wasanii wa zamani akiwemo 50 Cent, Busta Rhymes, Game, Eve, Raekwon, Rakim, Slim the Mobster, Stat Quo na wengine wengi tu. Studio imefanya kazi miaka kadhaa na kujipatia tunukio kadha wa kadha za platinum 16 au zaidi katika matoleo yake yote ya albamu 20.

Aftermath Entertainment
Aftermath entertainment.jpg
Shina la studio Universal Music Group
Imeanzishwa 1996
Mwanzilishi Dr. Dre
Usambazaji wa studio Interscope Geffen A&M
(Nchini Marekani)
Polydor Records
(Nchini Uingereza)
Universal Music Group
(Dunia Nzima)
Aina za muziki Hip hop
Nchi Marekani
Mahala Santa Monica, California
Tovuti aftermathmusic.com

Viungo vya NjeEdit


  Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Aftermath Entertainment kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.