Agatho na wenzake thelathini na sita (Amoni, Arato, Bastamoni, Bastami, Besamoni, Didimo, Dionisi, Dioskoro, Ekomei, Hero, Hipeas, Horpresi, Horus, Koluti, Orioni, Pantheri, Papas, Papias, Paulo, Petheko, Pinuti, Plesi, Potamoni, Protea, Rekombi, Rekumbi, Romano, Sarmata, Saturnini, Serapioni, Siriaki, Theonas, Thioni na Zotiko) ni kati ya Wakristo wa Misri waliouawa kwa ajili ya imani yao [1].

Kabla ya hapo walikuwa wamejitahidi kueneza Ukristo katika nchi nzima.

Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 18 Januari.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.