Agence Nationale de l'Aviation Civile et de la Météorologie

Agence Nationale de l'Aviation Civile et de la Météorologie de l'Union des Comores al maruf kama (ANACM) "National Civil Aviation and Meteorological Agency" ni mamlaka ya asasi ya anga ya Komori. Pia ndiyo inasimamia uchunguzi wa ajali za ndege na matukio mengine. Ofisi zake kuu ziko Moroni.

Kitovu cha mji wa Moroni

Vyungo vya njeEdit