Agronomia

Agronomia (kutoka Kiingereza "agronomy") ni taaluma ya sayansi ya udongo na mimea na uhusiano wake na mazingira.

Wanaagronomia wakifanya kazi

Mtu anayejihusisha na agronomia anaitwa mwanaagronomia.

Morpho didius Male Dos MHNT.jpg Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Agronomia kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.