Ahmed Adaweyah
Mwimbaji wa Misri wa muziki wa sha'abi
Ahmed Adaweyah, ni mwigizaji na mwimbaji maarufu wa muziki wa Sha'abi wa nchini Misri. Pia aliigiza katika filamu 27 za Misri.
Wasifu
haririAdaweyah alizaliwa mnamo 1945 katika Mkoa wa Minya, Misri, kwa mfanyabiashara wa mifugo, alikua na ndugu 14, [1] Baadae alihamia Cairo na kuanza kufanya kazi kama mhudumu wa mgahawa, huku pia akiimba nyimbo huko Cairo mwaka 1969. Rekodi zake ziliuzwa sana na zilisambazwa kupitia kaseti ya sauti mitaani.
Maisha binafsi
haririAdaweyah alioa mnamo 1976, ana binti mmoja, Warda, na mtoto wa kiume, Mohammed, ambaye pia ni mwimbaji. [2]
Marejeo
hariri- ↑ "عدوية.. تاريخ الشارع المصري في أغاني شعبية "رغم أنف المثقفين"". sasapost.com (kwa Arabic). 9 Desemba 2016. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-02-13. Iliwekwa mnamo 2022-05-03.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link) - ↑ "قصة أحمد عدوية تعود للأضواء: غيرة أمير كويتي وهيروين وإخصاء وزوجة تؤكد على رجولته". elfann.com (kwa Arabic). 19 Mei 2019.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ahmed Adaweyah kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |