Aidan Gallagher ni muigizaji wa Marekani ambaye anaigiza kwenye kampuni ya Nickelodeon.

Aidan Gallagher

Aidan Gallagher
Kazi yake Mwigizaji wa Marekani

kabla ya kuwa muigizaji wa nickelodeon alishawahi kuigiza movie inayoitwa "you and me": movie hiyo haikuwa maarufu sana wala kuangaliwa na watu wengi hivyo akaamua kujiunga na nickelodeon akashirikishwa kwenye movie iitwayo Nicky, ricky, dicky & dawn ambamo yeye alichukua sehemu ya nicky harper. Movie nyingine ambazo ameshawahi kuigiza ni:

  • 2013 Modern Family Alec Episode: "The Wow Factor"; uncredited
  • 2013 Jacked Up Evan Pilot (unaired)
  • 2014–2018 Nicky, Ricky, Dicky & Dawn Nicky Main role
  • 2015 Nickelodeon's Ho Ho Holiday Special Himself Television film
  • 2017 Nickelodeon's Sizzling Summer Camp Special Beach Guy Television film; cameo
  • 2019–sasa The Umbrella Academy Number Five / The Boy Main role
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Aidan Gallagher kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.