Aimi Kunitake (alizaliwa 10 Januari 1997) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Japani ambae anacheza kama beki wa timu ya taifa ya Japani pamoja na klabu ya wanawake ya Mynavi Sendai.[1][2]

Marejeo

hariri
  1. Japan Football Association
  2. List of matches in 2018 at Japan Football Association
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Aimi Kunitake kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.