Air Bud
Air Bud ni filamu ya kuchekesha ya mwaka 1997 na imeongozwa na Charles Martin Smith.
Filamu hii inamuhusu mbwa mmoja aliyeokotwa na kijana mdogo na mbwa huyo alikuwa anapenda michezo.
Filamu hiyo ilifanikiwa kifedha, ikaingiza dola milioni nne katika wiki yake ya kwanza na jumla ya dola milioni 27.8 katika mwendo wake dhidi ya bajeti inayokadiriwa kuwa $ 3,000,000.
Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Air Bud kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |