Airkenya Express ni aina ya ndege iliyo na makao mjini Nairobi, Kenya. Airkenya husafirisha watu kote nchini Kenya na hata pia hadi Tanzania. Makao yake makuu ni katika Uwanja wa ndege wa Wilson, Nairobi.[1]

Ndege ya Airkenya aina ya Dash 7

Historia

hariri
 
Picha rasmi ya Airkenya mnamo mwaka 1990

Airkenya Express ilianza kazi mwaka 1987 kutoka kwa kuunganishwa kwa Air Kenya na Sunbird Aviation. Makampuni haya mawili yalikuwa na uzoefu katika anga wa zaidi ya miaka 20 katika Afrika Mashariki. Airkenya Aviation ilibadilishwa kuwa Airkenya Express mnamo Januari 2007. Kampuni hii inamilikiwa na wanabiashara Wakenya na ina wafanyakazi 165.[1]

Huduma

hariri

Airkenya inatoa huduma zifuatazo (mnamo Septemba 2007) [2]:

Safari za nchini Kenya:

Safari za Kimataifa:

  • Kilimanjaro (Uwanja Wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro

Airkenya inajumuisha ndege zifuatazo (mnamo Machi 2007):[1]

Viungo vya nje

hariri

Marejeo

hariri
  1. 1.0 1.1 1.2 "Directory: World Airlines", Flight International, 2007-03-27, p. 70. 
  2. "Air Kenya website". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-01-04. Iliwekwa mnamo 2009-12-19.