Airkenya
(Elekezwa kutoka Airkenya Express)
Airkenya Express ni aina ya ndege iliyo na makao mjini Nairobi, Kenya. Airkenya husafirisha watu kote nchini Kenya na hata pia hadi Tanzania. Makao yake makuu ni katika Uwanja wa ndege wa Wilson, Nairobi.[1]
Historia
haririAirkenya Express ilianza kazi mwaka 1987 kutoka kwa kuunganishwa kwa Air Kenya na Sunbird Aviation. Makampuni haya mawili yalikuwa na uzoefu katika anga wa zaidi ya miaka 20 katika Afrika Mashariki. Airkenya Aviation ilibadilishwa kuwa Airkenya Express mnamo Januari 2007. Kampuni hii inamilikiwa na wanabiashara Wakenya na ina wafanyakazi 165.[1]
Huduma
haririAirkenya inatoa huduma zifuatazo (mnamo Septemba 2007) [2]:
Safari za nchini Kenya:
- Amboseli (Uwanja wa ndege wa Amboseli)
- Lamu (Uwanja wa Ndege wa Manda)
- Lewa Downs (Uwanja wa ndege wa Lewa)
- Malindi (Uwanja wa Ndege wa Malindi)
- Maasai Mara (Uwanja wa ndege wa Mara Serena)
- Meru (Uwanja wa ndege wa Mulika Lodge)
- Mombasa (Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Moi)
- Nairobi (Uwanja wa ndege wa Wilson)
- Nanyuki (Uwanja wa ndege wa Nanyuki)
- Samburu (Uwanja wa Ndege wa Samburu)
Safari za Kimataifa:
- Kilimanjaro (Uwanja Wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro
Ndege
haririAirkenya inajumuisha ndege zifuatazo (mnamo Machi 2007):[1]
Viungo vya nje
haririMarejeo
hariri- ↑ 1.0 1.1 1.2 "Directory: World Airlines", Flight International, 2007-03-27, p. 70.
- ↑ "Air Kenya website". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-01-04. Iliwekwa mnamo 2009-12-19.