Aisha Madinda

Mwanamuziki wa Tanzania

Aisha Madinda (jina la kuzaliwa: Mwanaisha Mohamed Mbegu mnamo 5 Mei 1979 - 17 Disemba 2014) alikuwa mwimbaji maarufu wa muziki wa dansi kutoka nchini Tanzania. Vilevile ni miongoni mwa wanenguaji maarufu waliopata kutokea nchini Tanzania.

Aisha Madinda
Aisha Madinda (kushoto) akiwa na Lilian Internet (kulia)
AmezaliwaMwanaisha Mohamed Mbegu
(1979-05-05)5 Mei 1979
Amekufa17 Desemba 2014 (umri 35)
Mwananyamala, Dar es Salaam, Tanzania
Sababu ya kifoUraibu wa dawa za kulevya[1]
Majina mengine
Madinda
Kazi yake
  • Mnenguaji
DiniMwislamu
Watoto2 (Said na Naomi)
Musical career
Ala
  • Mnenguaji
Miaka ya kazi2001–2014
Ameshirikiana naTwanga Pepeta, Extra Bongo

Enzi za uhai wake, alichezea bendi ya African Stars (Twanga Pepeta) na Extra Bongo. Alijiunga na Twanga Pepeta mnamo mwaka 2001 na kudumu humo hadi hapo ilipoanzishwa Extra Bongo.

Kimaisha, alizaliwa Dar es Salaam na kusoma na kukulia huko Kigoma.

Marejeo hariri

  1. Mnenguaji Aisha Madinda afariki dunia gazeti la Mwananchi, mnamo Wednesday, December 17, 2014.
  Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Aisha Madinda kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.