Aisha Taymur
Aisha Taymur (kwa Kiarabu: عائشة عصمت تيمور au Aisha al-Taymuriyya عائشة التيمورية; 1840–1902) alikuwa mwanaharakati wa kijamii,mshairi, mwandishi wa riwaya na mwanaharakati wa haki za binadamu wa nchini Misri katika enzi za milki ya Ottoman.[1] Mwanzoni mwa karne ya 19 alijishughulisha na kutetea haki za wanawake.
Aisha Taymur | |
Amezaliwa | 1840 Misiri |
---|---|
Amekufa | 1920 |
Nchi | Kiarabu |
Marejeo
hariri- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-03-21. Iliwekwa mnamo 2022-03-04.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Aisha Taymur kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |