Akili kama kipaji cha Roho Mtakatifu ni utayari wa Mkristo kuangaziwa na Roho Mtakatifu kuhusu mafumbo ya imani ili kuyaelewa. Hivyo haitegemei akili wala elimu yake.

Akili ni mwanga wa Roho Mtakatifu wa kutusaidia tumjue zaidi Mungu na ukamilifu wake pamoja na kuelewa ufunuo wake.

Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Akili (kipaji) kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.