Akimi Kawafune
Akimi Kawafune (alizaliwa 25 Desemba 2003) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Japani ambae anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya AC Nagano Parceiro Ladies inayoshiriki ligi ya wanawake ya WE League.[1]
Marejeo
hariri- ↑ "weleague" (PDF). Iliwekwa mnamo 2023-02-03.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Akimi Kawafune kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |